Man City yamuaga Mahrez
MABINGA wa Ligi Kuu England, Manchester City imeagana na Riyad Mahrez baada ya kukamilika taratibu za kuhamia klabu ya Al-Ahli ya Saudi Arabia.
Winga huyo raia wa Algeria meshinda taji la EPL mara nne akiwa na klabu yetu, ubingwa wa FA mara 2, Carabao mara 3 na kutwaa Community Shield mara 2 na taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya..