Man United yaagana na De Gea

NDOA ya Manchester United na David De Gea imefikia mwisho leo, baada ya Mhispania huyo kupewa ‘kwaheri’ na klabu hiyo.

De Gea alisajiliwa United mwaka 2011 akitokea Atletico Madrid.

Nyota huyo amesema: Ningependa kutoa shukrani zangu zisizokuwa na shaka na shukrani kwa upendo wa miaka 12 iliyopita.

Advertisement

Hatua hiyo huenda imechochewa na taarifa za United kukalibia kumsajili kip wa Inter Milan, Andre Onana.

7 comments

Comments are closed.