Manchester City bingwa wa dunia
KLABU ya Manchester City sasa ni timu bora ya dunia baada ya leo kutwaa ubingwa wa klabu bora ya dunia.
Man City imewafunga Fluminense mabao 4-0 katika mchezo wa fainali wa mashindano hayo ambayo kila bara linawakilishwa na timu moja iliyotwa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa kwa bara husika.
Katika mchezo huo, mabao ya City yalifungwa na Phil Foden, Julian Alvarez mawili namoja lakujifunga.
Msimu uliopita City ilitwaa ubingwa wa EPL, Ligi ya Mabingwa Ulaya, FA Cup, Uefa Super Cup, FIFA CLUB World Cup.