Mapumziko: Simba 0-1 Al-Ahly

DAKIKA 45 za kipindi cha kwanza mchezo wa African Football League umemalizika uwanja wa Mkapa, mpaka sasa Simba iko nyuma kwa bao 1-0.
Bao la Al-Ahly limefungwa na Reda Slim dakika za mwishoni za kipindi cha kwanza.
Mchezo huo utarejea baada ya mapumziko.



