Trending

Marekani yamtaka Kenyatta kukabidhi Madaraka kwa amani

Ujumbe wa Bunge la Marekani nchini Kenya umemtaka Rais anaemaliza muda wake Uhuru Kenyatta kukabidhi madaraka kwa amani katika kipindi ambacho taifa hilo linapitia baada ya uchaguzi wa Agosti 9.

Akizungumza na Shirika la Habari la AP, Seneta Cris Coons amesema amezungumza na Rais Kenyatta kwa namna gani atashiriki ujenzi wa amani baada ya kuondoka madarakani.

Habari Zifananazo

Back to top button