‘Marufuku bodaboda kubeba mishikaki Arusha’

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Said Mtanda amepiga marufuku tabia ya waendesha bodaboda kubeba wanafunzi zaidi zaidi ya mmoja katika pikipiki moja
Mtanda ametoa agizo hilo leo, mara baada ya kuona watoto hao wakiwa wamepakizwa watano kwenye pikipiki moja, upakizaji ambao ni maarufu kwa jina la mishikaki.