Masauni ataka elimu zaidi usimamizi mazingira
DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuweka nguvu zaidi katika utoaji wa huduma na elimu kwa umma kuhusu sheria ya usimamizi wa mazingira, ili kuhakikisha utunzaji wa mazingira unakuwa endelevu nchini. Mhandisi Masauni ametoa agizo … Continue reading Masauni ataka elimu zaidi usimamizi mazingira
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed