Mashahidi waeleza walivyotekwa kesi mgodi wa Tanzanite

MASHAHIDI wawili wa jamhuri katika kesi ya kujeruhi inayowakabili wafanyakazi sita wa mgodi wa Madini ya Tanzanite Mirerani wa Kampuni ya Gem & Rock Venture unaomilikiwa na mfanyabiashara maarufu Arusha, Joel Mollel maarufu kwa jina la Saitoti wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Simanjiro jinsi walivyotekwa, kupigwa na kupoteza fahamu katika tukio lililotokea Machi 13 mwaka huu.

Shahidi wa kwanza upande wa jamhuri aliyejitambulisha kwa jina la Ezekiel Isack (30) mkaguzi wa migodi na baruti katika Wizara ya Madini alidai kuwa Machi 13 mwaka huu akiwa katika shughuli za ukaguzi mgodi wa Saitoti alivamiwa na kutekwa na kundi la wafanyakazi zaidi ya 20 wa Gem & Rock na kushambuliwa Kwa kupigwa na vifaa vya uchimbaji na kujeruhiwa vibaya mwilini haswa mgongoni na kichwani.

Isack ambaye alikuwa akitoa ushahidi kwa kuongozwa na Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Grace Mgaya mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro ,Charles Uiso alidai kuwa walikwenda kufanya ukaguzi baada ya Meneja wa Kampuni ya Franone inayochimba madini ya Tanzanite Kitalu C na Ubia na serikali kulalamikia ofisi ya Wizara ya Madini kuwa wafanyakazi wa Gem & Rock wamepiga baruti iliyosababisha moshi na vumbi na kuathiri wafanyakazi wa Franone.

Alidai kuwa kabla ya kuanza ukaguzi ghafla yeye na wenzake wawili walivamiwa na wafanyakazi wa Gem & Rock na kupigwa kipigo kitakatifu kilichowapelekea kupata majeraha mazito na baadhi yao kukimbizwa hospital baada ya kupata fomu ya matibabu ya PF3 katika kituo cha polisi Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara.

Akihojiwa na wakili wa washitakiwa sita, Daudi Lairumbe shahidi huyo alidai kuwa walipokuwa wakifanya ukaguzi katika mgodi wa Gem & Rock hakukuwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo na barua ya malalamiko ya kampuni ya Franone iliyoandikwa na meneja Frank Mziwanda Kampuni ya Gem & Rock hawakupewa nakala ya malalamiko hayo.

Shahidi Isack alimjibu wakili Lairumbe kuwa kanuni ya Wizara ya Madini zinaruhusu mkaguzi wa wizara kukagua bila ya kuwa na mtu mwingine  yoyote kwani wanaruhusiwa pia kukagua bila ya kuwa na wafanyakazi wa walalamikiwa wala wanaolalamika.

Shahidi wa pili wa Jamhuri katika kesi hiyo aliyejitambulisha kwa jina la Switbert Albogast (45)  mfanyakazi wa Franone yeye alidai kuwa siku hiyo ya Machi 13 mwaka huu alijeruhiwa vibaya kichwani na mwilini na kutokwa damu nyingi na kisha kukimbizwa hospital kwa ajili ya  matibabu na kabla ya kufika hospital alipitia PF3 katika kituo cha polisi Mirerani.

Albogast alidai hayo wakati akiongozwa na Mwendesha Mashitaka Mgaya mbele ya hakimu Uiso na kudai kuwa jeraha la kichwani na mwilini lilitokana na kipigo kutoka kwa wafanyakazi wa Gem & Rock na hatimaye kupoteza fahamu.

Alidai wafanyakazi wa Franone, polisi, usalama wa taifa wote walitekwa na kuwekwa chini ya ulinzi na wafanyakazi wa Gem & Rock na baada ya kutekwa na kuwekwa chini ya ulinzi walipigwa na vifaa vya uchimbaji na baadhi yao walikuwa hoi kiafya na wengine walipoteza fahamu na kukimbizwa hospital.

Kesi hiyo imehairishwa hadi Septemba 8 mwaka huu ambapo mashahidi wengine wanatarajiwa kutoa ushahidi katika mahakama hiyo kwani hakimu Uiso alisema kuwa muda sio rafiki kwa kuwa alikuwa na kesi nyingine ambayo ni ya miaka mingi hivyo ilipaswa kumalizwa ndani ya wiki hiyo.

Wafanyakazi sita wanaokabiliwa na kesi hiyo ya shambulio na kujeruhu watumishi wa serikali ni pamoja na Petro Exsaud (48) mkazi wa Moshono jijini Arusha,Mosses Kilelwa(45) mkazi wa Mirerani Simanjiro, Daniel Siyaya(44) mkazi wa Ilboru Arumeru Arusha, Mosses Sirikwa (46) mkazi wa Ilboru Arumeru,Dausen Mollel (58) mkazi wa Ilboru Arumeru na Enock Nanyaro (32) mkazi wa Moshono Arusha.

Wakati huo huo Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Simanjiro imetupilia mbali kesi ya kukaidi amri ya Wizara ya Madini iliyokuwa ikiwakabili washitakiwa wawili Joel Mollel maarufu kwa jina la Saitoti na Enock Nanyaro kwa maelezo kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kisheria kusikiliza kesi hiyo.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
7 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Allets
Allets
1 month ago

Fantastic work, Mike. Since I currently make more than $36,000 each month from just one simple web business, I commend your efforts. Despite the fact that these are the most basic internet operations occupations, you nd-05 may start making a reliable online income with as little as $29,000.
.
.
Modify your connection—————————>>>  https://salarycah55.blogspot.com/

eventsnikazi eventsnikazi
eventsnikazi eventsnikazi
Reply to  Allets
1 month ago

Wimbo wa Safi na Rahisi
Kila Kitu Chetu Record Umeimbwa na Halleluya ft VTB

Kila nikifikiria juu yako
Mimi hupata ubaridi kwenye uti wa mgongo wangu
Ni hisia ambazo sijazizoea,
Siwezi kuamini kuwa wewe ni wangu kweli
Mapenzi mengine ni magumu sana
Mioyo iliyovunjika na akili zinazopinda
Kisha ulikuja na Nimefurahiya
Kwa hivyo tofauti na nyakati zingine
Ni safi sana karibu ni takatifu.
Kwa ufupi, inahisi ya kimungu.
Ninakupenda tu safi na rahisi,
Safi na rahisi na tukufu.
Je, si ionekane tunayo. alitumia maisha yake yote
Kutafuta upendo huo kamili
Kama ndoto hatimaye tuliipata
Safi na rahisi
Vema, ni nzuri kwetu
Ni safi sana inakaribia kuwa takatifu
Kwa ufupi, inahisi ya kimungu
Ninakupenda tu safi na rahisi
 Safi na rahisi, mtamu na mzuri
Ninakupenda tu safi na rahisi
Siwezi kuamini kuwa wewe ni wangu kweli
Safi na rahisi…

Julia
Julia
1 month ago

Earn income while simply working online. Work from home whenever you want. Just for maximum 5 hours a day you can make more than $600 per day online. From this I made $18,000 last month in my spare time.
.
.
Detail Here—————————————————————>>>  http://Www.OnlineCash1.Com

eventsnikazi eventsnikazi
eventsnikazi eventsnikazi
Reply to  Julia
1 month ago

Wimbo wa ni wewe
Kila Kitu Chetu Record Umeimbwa na Halleluya ft VTB

Ilianza kama mzaha
Sikuwahi kufikiria ingekuja kwa hii
Leo ninatembea kwenye vichaka, kama mhalifu
Leo ninatembea polepole sana, kama mchungaji
Tu kupata glimpse ya wewe
Unapocheza kwenye uwanja wa michezo
Mama yako alizungumza na wanasheria
Aliwaambia sikuwa mzuri karibu nawe
Mawakili hao walizungumza na majaji
Aliwaambia sikuwa mzuri karibu nawe
Waamuzi walimpa mama yako barua
Hiyo ni kuniweka mbali na wewe
Usijali, hauko mbali nami kamwe
Ndani ya moyo wangu, ninaweka sanduku kidogo
Ni sanduku la kumbukumbu nilizounda juu yako
Ndani ya moyo wangu, ninaweka sanduku kidogo
Ni sanduku la kumbukumbu nilizounda juu yako

[Kwaya ×7:]
Wewe ni mmoja, wewe ni mmoja

Wakati wowote ninapokukosa mbaya
Ninazunguka bustani
Kuangalia wavulana na wasichana wadogo
Wananikumbusha wewe
Kuna hadithi nyingi ambazo ningependa kushiriki nawe
Kuna mengi ya michezo, ningependa kucheza na wewe
Machozi yananitoka usoni mwangu
Ninapofikiria juu ya kile kilichotokea

Wakili huyo alizungumza na majaji
Aliwaambia sikuwa mzuri karibu nawe
Waamuzi walimpa mama yako barua
Hiyo ni kuniweka mbali na wewe
Usijali, hauko mbali nami kamwe
Ndani ya moyo wangu ninaweka sanduku kidogo
Ni sanduku la kumbukumbu nilizounda juu yako

[Chorus: mpaka fade]
Wewe ni mmoja, wewe ni mmoja

RuthHenderson
RuthHenderson
1 month ago

I remodelled $700 per day exploitation my mobile partly time. I recently got my fifth bank check of $19632 and every one i used to be doing is to repeat and paste work online. This home work makes Pine Tree State able to generate more money daily simply straightforward to try and do work and regular financial gain from this are simply superb.

Here what i’m doing. strive currently……………>>> https://fantasticjobs50.blogspot.com

eventsnikazi eventsnikazi
eventsnikazi eventsnikazi
1 month ago

Wimbo wa ni wewe
Kila Kitu Chetu Record Umeimbwa na Halleluya ft VTB

Ilianza kama mzaha
Sikuwahi kufikiria ingekuja kwa hii
Leo ninatembea kwenye vichaka, kama mhalifu
Leo ninatembea polepole sana, kama mchungaji
Tu kupata glimpse ya wewe
Unapocheza kwenye uwanja wa michezo
Mama yako alizungumza na wanasheria
Aliwaambia sikuwa mzuri karibu nawe
Mawakili hao walizungumza na majaji
Aliwaambia sikuwa mzuri karibu nawe
Waamuzi walimpa mama yako barua
Hiyo ni kuniweka mbali na wewe
Usijali, hauko mbali nami kamwe
Ndani ya moyo wangu, ninaweka sanduku kidogo
Ni sanduku la kumbukumbu nilizounda juu yako
Ndani ya moyo wangu, ninaweka sanduku kidogo
Ni sanduku la kumbukumbu nilizounda juu yako

[Kwaya ×7:]
Wewe ni mmoja, wewe ni mmoja

Wakati wowote ninapokukosa mbaya
Ninazunguka bustani
Kuangalia wavulana na wasichana wadogo
Wananikumbusha wewe
Kuna hadithi nyingi ambazo ningependa kushiriki nawe
Kuna mengi ya michezo, ningependa kucheza na wewe
Machozi yananitoka usoni mwangu
Ninapofikiria juu ya kile kilichotokea

Wakili huyo alizungumza na majaji
Aliwaambia sikuwa mzuri karibu nawe
Waamuzi walimpa mama yako barua
Hiyo ni kuniweka mbali na wewe
Usijali, hauko mbali nami kamwe
Ndani ya moyo wangu ninaweka sanduku kidogo
Ni sanduku la kumbukumbu nilizounda juu yako

[Chorus: mpaka fade]
Wewe ni mmoja, wewe ni mmoja

eventsnikazi eventsnikazi
eventsnikazi eventsnikazi
1 month ago

Wimbo wa Safi na Rahisi
Kila Kitu Chetu Record Umeimbwa na Halleluya ft VTB

Kila nikifikiria juu yako
Mimi hupata ubaridi kwenye uti wa mgongo wangu
Ni hisia ambazo sijazizoea,
Siwezi kuamini kuwa wewe ni wangu kweli
Mapenzi mengine ni magumu sana
Mioyo iliyovunjika na akili zinazopinda
Kisha ulikuja na Nimefurahiya
Kwa hivyo tofauti na nyakati zingine
Ni safi sana karibu ni takatifu.
Kwa ufupi, inahisi ya kimungu.
Ninakupenda tu safi na rahisi,
Safi na rahisi na tukufu.
Je, si ionekane tunayo. alitumia maisha yake yote
Kutafuta upendo huo kamili
Kama ndoto hatimaye tuliipata
Safi na rahisi
Vema, ni nzuri kwetu
Ni safi sana inakaribia kuwa takatifu
Kwa ufupi, inahisi ya kimungu
Ninakupenda tu safi na rahisi
 Safi na rahisi, mtamu na mzuri
Ninakupenda tu safi na rahisi
Siwezi kuamini kuwa wewe ni wangu kweli
Safi na rahisi…

Back to top button
7
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x