Mashujaa watambulisha jezi mpya

Timu ya Mashujaa FC kutoka Kigoma imetambulisha jezi zao za msimu wa 2023-2024 kwa mara ya kwanza ambapo zitaanza kuuzwa kuanzia kesho Septemba 15,2023.

Uongozi wa Mashujaa bado haujaweka wazi hadi sasa sababu iliyopelekea kuchelewesha jezi hizo.

Timu hiyo kwa mara ya kwanza imeingia kucheza Ligi Kuu msimu huu ikiwa imepita miaka 20.

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button