Mashujaa wazindukia kwa KMC

BAADA ya kutopata ushindi kwenye mechi 5 zilizopita, timu ya Mashujaa ya Kigoma, leo imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya KMC ya Kinondoni katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mabao ya mashujaa FC yamewekwa kambani na Josephat Jeremanus dakika ya 11, Ali Hassan dakika 22 kabla ya Reliant Lusajo kukamilisha la tatu dakika ya 59.

 

Habari Zifananazo

Back to top button