Matukio sherehe za miaka 60 ya Muungano

DAR ES SALAAM; Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki ukiimbwa katika Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Aprili 26, 2024. (Picha na Ikulu).