Mauzo ya nyama nje yaongezeka

MAUZO ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 15 mwaka jana yalifikia tani 5,158.93 sawa na ongezeko la asilimia 21.7 ikilinganishwa na tani 4,239.42 zilizouzwa kipindi kama hicho mwaka 2021 huku nchi ya QatarĀ ikiongoza kwa kununua tani 504. Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania (TMB), Dk Daniel Mushi alisema katika kipindi … Continue reading Mauzo ya nyama nje yaongezeka