Mavunde, Feliz uso kwa uso jijini Dar

NAIBU Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Uturuki(TIKA) Filiz Sahinci,  leo Jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo hayo yalihusu juu ya namna bora ya ushirikiano baina ya Taasisi hiyo na Wizara ya Kilimo katika kuwawezesha vikundi vya wakulima wakinamama kulima kwa tija na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo.

Habari Zifananazo

Back to top button