Mbappe afikisha mabao 300

BAADA ya kufunga mabao matatu katika ushindi wa mabao 14-0 dhidi ya Gibralta, mshambuliaji wa Ufaransa, Kylian Mbappe sasa amefunga mabao 300 katika maisha yake yote.

Mbappe alianza kucheza soka akiwa Monaco amefunga mabao hayo mpaka sasa ana umri wa miaka 24.

Mbappe amefunga mabao hayo akiwa na Monaco, PSG na timu ya taifa.

Katika mchezo wa leo mabao ya Ufaransa yamefungwa na wachezaji hawa hapa chini.

E. Santos 3′ (OG)
M. Thuram 4′
W. Zaïre-Emery 16′
K. Mbappe 30′ (P), 74′,82′
J. Clauss 34′
K. Coman 36′, 65′
Y. Fofana 37′
A. Rabiot 63′
O. Dembélé 73′
O. Giroud 89′, 90

+1′

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button