MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Idris Mbombo ameongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.
Hatua hiyo ni mkakati wa Azam FC kuendelea kuwaanga na kuwaongezea mkataba baadhi ya nyota wake kwa ajili ya msimu ujao.
Taarifa ya kuongez mkataba huo imetolewa na klabu hiyo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
“Mshambuliaji wetu mahiri, Idris Mbombo, ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2024”
Comments are closed.