Mchengerwa atimiza ahadi Rufiji

RUFIJI; Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametimiza ahadi yake kutoa Sh milioni 40 kwa wananchi wa Rufiji walioathirika na mafuriko kwa ajili ya kununulia mbegu za mazao yaliyosombwa na maji na pia ameongeza Sh millioni milioni 10 na hivyo amemkabidhi jumla ya Sh milioni 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele.
Ikumbukwe kuwa Fedha hizi ni kutoka mfukoni mwa Mchengerwa ikiwa ni sehemu ya mshahara wake kuwafuta machozi wananchi wa Rufiji kwa adha waliyopata kutokana na mafuriko

Habari Zifananazo

Back to top button