“Mchezaji mkubwa Simba anakuja”

MASHABIKI wa Simba wanapaswa kukaa mkao wa kula wakisubiri utambulisho wa mchezaji mkubwa anayetoka kwenye klabu kubwa barani Afrika. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah, Salim Try Again ameeleza.

Try Again ametoa taarifa hiyo leo wakati akizungumza na wanasimba kwenye tukio la Unyama Mwingi linaloendelea viwanja vya Leaders Club.

“Mimi na Mohammed Dewji tumefanikisha usajili wa mchezaji mkubwa sana kutoka klabu kubwa sana na muda si mrefu tutambulisha.”

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button