Mchoma awashauri wasanii kuwa na uongozi

MWIGIZAJI Chiki Mchoma, ambaye pia ni mwenyekiti wa waigizaji Tanzania mewataka wasanii kuwa na wanasaikolojia na menejimenti zao.

Akizungumza na Habari Leo jijini Dar es Salaam, Chiki amesema kumekuwa na wimbi kubwa la wasanii kuropoka mitandaoni jambo ambalo sio sawa.

“Msanii yoyote anatakiwa kuwa na mwanasaikolojia na menejimenti kumsaidia katika maamuzi nasio lukurupuka mitandaoni kitu kinacholeta mshangao kwenye jamii yake akiwa na menejimenti watamshauri nini afanye nini hasifanye nini hasiongee.” amesema Chiki

Habari Zifananazo

Back to top button