Membe kuzikwa Mei 16

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe utasafirishwa kuelekea mkoani Lindi na kuzikwa Mei 16, 2023.

Ratiba ya inaonesha Jumapili Mei 14, 2023 saa 3:30 asubuhi mwili utaagwa katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam kisha kurudishwa nyumbani kwake Mikocheni.

Mei 15, 2023 mwili utasafirishwa kwenda Rombo na Mei 16, 2023 kuzikwa.

RATIBA YA MAZISHI YA BERNARD MEMBEĀ 

 

Habari Zifananazo

Back to top button