Messi asepa na kijiji chake

Abril 21, 2023 Foto de archivo del delantero del Paris St Germain Lionel Messi antes del partido con Angers por la Ligue 1 REUTERS/Stephane Mahe/

UMAARUFU wa nyota wa zamani wa Barcelona na Psg Lionel Messi umeanza kuinufaisha timu ya Inter Miami inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani (MLS)

Takwimu zinaonyesha kuwa muda mchache tuu badaa ya ya taarifa za Messi kujiunga na timu hiyo namba za wafuasi kwenye mitandao ya kijamii ya timu ya Inter Miami zilibadilika kwa kiasi kikubwa, timu hiyo ilikuwa na wafuasi milioni moja kabla ya taarifa za Messi lakini mpaka sasa wamefikisha wafuasi milioni 6.4 kwenye ukurasa wao wa mtandao wa Instagram.

Ikumbukwe bado Lionel Messi ahajatambulishwa rasmi na klabu hiyo swali lilipo je akitambulishwa itakuwaje?

Advertisement

1 comments

Comments are closed.