Mgawanyo kanda saba wazaa matunda

Mgawanyo wa Kanda saba katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wenye lengo la kusogeza huduma kwa wananchi umezaa matunda.
Lengo lingine ni kuwezasha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupitia tozo mbalimbali.
Pichani inaonyeshwa hali ya uchafu uliokowepo katika mfereji ulioko karibu na Ofisi ya Kanda Chanika, baada ya kuwa Kanda umesafishwa.
Hayo ni matunda ya Huduma za wananchi kusogezwa karibu nao.