Mgombea ubunge CUF ajiunga ACT Wazalendo

DAR ES SALAAM; ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Kondoa Mjini katika uchaguzi wa mwaka 2015-2020 Ally Kambi, leo Juni 10, 2024,  amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo akitokea Chama cha Wananchi (CUF).

Mgombea huyo alipokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu makao makuu ya chama hicho Magomeni, Dar es Salaam.

#HabariLEO #DailyNews #SpotiLEO

Advertisement