‘Mike’ aliyorusha Card B yapigwa mnada

KAMA utakumbuka wiki iliyopita rapa kutoka Marekani Card B alimrushia shabiki mmoja ‘Microphone’ baada ya shabiki huyo kufanya kitu ambacho hakikumpendeza msanii huyo.

Sasa unaambiwa mmiliki wa kampuni ya Wave Audio iliyotoa ‘Microphone’ hiyo ametangaza kuipiga mnada Dola 90,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 200.

Scott Fisher amesema pesa itakayopatikana itaelekezwa watu wasiojiweza, watoto, vijana na vijana wenye mahitaji maalum huko Las Vergas.

Habari Zifananazo

Back to top button