Mimi Mars atamani mtoto

MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ ameweka wazi kuwa anatamani kupata mtoto.

Mimi Mars amesema baadhi ya watu wanadhani kuwa hapendi kuwa na mtoto, isipokuwa aliamua kujipa muda kidogo na kwamba hivi karibuni ataitwa mama.

“Kila kitu ni mipango hivyo nilikuwa najipanga nikiwa tayari nitakuwa mama sio wa mtoto watoto tumuombe Mungu atusaidie katika kila jambo.” amesema Mimi Mars.

Habari Zifananazo

Back to top button