Mjema ateuliwa mshauri wa Rais

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.

Kabla ya uteuzi huo, Mjema alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Una maoni usisite kutuandikia

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *