Mkutano wa 45 SADC waanza Madagascar

Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza leo Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030. Tanzania inashiriki kikao hicho muhimu kwa maendeleo ya kikanda, huku ujumbe wake … Continue reading Mkutano wa 45 SADC waanza Madagascar