Mo Dewji ampongeza Dk Tulia urais IPU
MFANYABIASHARA Mohammed Dewji amempongeza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
–
Dewji ametoa pongezei hilo leo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
–
“Hongera sana rafiki yangu mpendwa Mhe. Dr TuliaAckson, Spika wa Bunge la Tanzania kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani! Ninajivunia kwako. Mwenyezi Mungu akubariki.”