MOI kutoa matibabu bure siku saba Mbagala

DAR ES SALAAM; Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza kutoa matibabu ya kibingwa bobezi bure kwa wananchi  wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kambi maalumU ya matibabu iliyoanza Mei 11 hadi 17,2025. MOI inatoa matibabu hayo kwa kushirikiana na  Umoja wa Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato … Continue reading MOI kutoa matibabu bure siku saba Mbagala