Mpango wa kumiliki simu

DAR ES SALAAM: George Lugata, Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania (kushoto)na Edwin Byampanju, Mwakilishi wa Samsung Tanzania wakiwa katika uzinduzi wa mpango ujulikanao kama ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’ ambao unamwezesha mteja wa Vodacom kulipa kiasi kidogo cha fedha na kumiliki simu janja huku akiendelea kupunguza deni lake kidogo kidogo ndani ya kipindi cha mwaka mmoja,  tukio hilo limefanyika Makao Makuu ya Vodacom Tanzania mnamo Mei 21, 2024 jijini Dar es Salaam.

Habari Zifananazo

Back to top button