MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amewapongeza viongozi wote wa vyama vya 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu vilivyoitikia wito wa kuhudhuria mkutano wao na Rais Samia Suluhu Hassan leo jijini Dar es Salaam.
–
Amesema japo wito huo ulikuwa ndani ya muda mfupi, lakini wote wamehudhuria na hiyo ni dalili nzuri.
Comments are closed.