MSD Mlipa Kodi Bora mwaka 2023
DAR ES SALAAM: Bohari ya Dawa (MSD), imetwaa tuzo ya Mlipakodi Bora kwa mwaka 2023 ya Mamlaka ya Kodi Tanzania. Tuzo hizo zilitolewa jana usiku katika hafla maalum ya wiki ya Mlipakodi zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijiini Dar es Salaam ambako Bohari hiyo imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha walipakodi wa Kati … Continue reading MSD Mlipa Kodi Bora mwaka 2023
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed