Muhas waandaa kambi uchunguzi magonjwa ya moyo

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kimeandaa Kambi Maalum ya Afya ya Moyo kuanzia Mei 21 hadi Mei 22, 2025 ambapo wananchi watapata fursa ya kufanyiwa uchunguzi wa awali wa viashiria vya moyo, uchunguzi wa visababishi vya magonjwa ya moyo. Pia watapata elimu na ushauri kuhusu afya ya … Continue reading Muhas waandaa kambi uchunguzi magonjwa ya moyo