MUHAS waja na mpango wa mazoezi usimamizi kitabibu
DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kinatarajia kuanza kutoa mafunzo maalum ya kitaalamu kwa wakufunzi wa mazoezi ya viungo (gym instructors) na wasimamizi wa kumbi za mazoezi (fitness managers),ili kuhakikisha wanakuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja wanaopelekwa kufanya mazoezi kwa sababu za kitabibu. IIrene Mzokolo akifafanua namna vifaa vya … Continue reading MUHAS waja na mpango wa mazoezi usimamizi kitabibu
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed