TANZIA: Waziri wa zamani wa Fedha, Mustafa Mkulo amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa ya familia, inasema Mkulo ambae aliwahi kuwa Mbunge wa Kilosa, amefariki Mei 3, katika hospital ya Taifa ya Muhimbili.
Isome pia https://www.facebook.com/share/p/B82jHcxzhCHbsD2G/?mibextid=oFDknk
Msiba kwa sasa upo nyumbani kwake Mikocheni, mipango ya mazishi inaendelea na anatarajia kuzikwa kesho Jumapili Mei 5, Kijijini kwao Kilosa.