Mvua zaleta neema Mto Ruaha!

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo ya mkoa wa Iringa zimeanza kuneemesha maji ya kutosha kwenye  Mto Ruaha Mkuu, ambayo yanatumika katika shughuli mbalimbali zikiwemo kuzalisha umeme kwenye Bwawa la Kidatu, mkoani Morogoro, kama inavyooneka Desemba 19,2022 eneo la Ruaha Mbuyuni  mpakani mwa Mkoa wa Morogoro na Iringa.

Habari Zifananazo

Back to top button