Mwali wa Simba ameingia Dar tayari

DAR ES SALAAM; Mabingwa wa Kombe la Muungano 2024, timu ya Simba wamewasili jijini Dar es Salaam wakiwa na kombe lao walilotwaa jana usiku baada ya kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.