Mwalimu mbaroni kosa la kumnajisi mwanafunzi

JESHI la polisi mkoani Mtwara linamshikilia mwalimu wa shule ya msingi ya Mkalapa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kumnajisi mwanafunzi wa darasa la saba.

Mwalimu huyo ambaye kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa uchunguzi inadaiwa alitenda tukio hilo mwishoni mwa wiki iliyopita.

Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo mwalimu huyo alimwambia afuate madumu ya maji aliyoyaacha nyumbani kwa mwalimu huyo wakati wa kumaliza mtihani wake wa  darasa la saba na kisha kumlazimisha kumwingilia kimwili.

Mwalimu anayedaiwa kufanya tukio hilo ni wa kujitolea na anaishi katika moja ya nyumba ya shule iliyopo katika eneo hilo.

Kwa upande wa wazazi na walezi wa mtoto huyo wamesema kwa kuwa uthibitisho umekamilika wanasubiri tamko la jeshi la polisi kumfikisha mahakamani.

Baada ya kutendewa tukio hilo, alipelekwa katika hospitali ya St. Benedict ya Ndanda kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
UMASIKINI
UMASIKINI
2 months ago

Balozi wa Canada anatafuta vijana 6,500,000 kwa ajili ya kuandaa KIJIJI cha UJAMAA nchini Canada (KYLE XY).. Kama umesoma kuanzia level ya form six HADI PHD

Capture-1695199354.9581-221x300-1695204960.2433.jpg
Sarah
Sarah
2 months ago

finish some internet providers from home. I absolutely never thought it would try and be reachable anyway. My comrade mate got $13k just in about a month effectively doing this best task and furthermore she persuaded me to profit. Look at additional subtleties going to
this article..__________ http://Www.Careers12.com

Last edited 2 months ago by Sarah
Deanna Morgan
Deanna Morgan
2 months ago

I have a home-based business and make a respectable $60k per week, which is incredible given that a year ago I was unemployed due to a poor economy. I was given these instructions as a gift, and it is now my ne-02 responsibility to spread kindness and make them available to everyone.
This Page Provides Details—————>>> https://workscoin1.pages.dev/

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x