Mwandishi TSN atwaa tuzo habari za korosho

MWANDISHI wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali  (TSN) anayeripoti kutoka mkoani Mtwara, Sijawa Omary ameibuka mshindi kwa kuwa mwandishi wa habari bora kitaifa wa habari za korosho kundi la magazeti katika tuzo ya korosho.

Tuzo hiyo imetolewa leo na Bodi ya Korosho yenye lengo la kuongeza ari na mwamko wa kuandika habari za maendeleo ya zao la korosho nchini

Advertisement

Akitangaza tuzo hizo, Mkurungenzi Mkuu wa Bodi ya korosho Tanzania (CBT) Francis Alfred amesema tuzo imehusisha waandishi wa magazeti, runinga, vyombo vya habari vya mtandaoni na radio.

7 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *