Mwandishi TSN awapa somo wanafunzi UDSM

Mwandishi wa kitengo cha habari za kidijitali cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Sauli Giliard akitoa uzoefu wake kwa wanafunzi wa Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) juu ya maadili kwa waandaaji maudhui ya mtandaoni