Mwenye jinsia mbili, Atolewa jinsia ya kike

DAR ES SALAAM: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke jijini Dar es Salaam imefanya upasuaji mkubwa kwa mtu mwenye jinsia mbili kwa kutoa viungo vya uzazi vya kike kutoka kwenye korodani.

Upasuaji huo umefanyika kwa mara ya kwanza katika hospitali hiyo na kwa mara ya kwanza kwa hospitali za rufaa zilizopo Tanzania.

Ugonjwa huu unatokana na changamoto wa ukuaji wa kijinsia (ovotesticular DSD), ni ugonjwa nadra na adimu sana kutokea ambapo binadamu huzaliwa na viungo vya ndani vya uzazi (gonadi) za jinsia zote (ovari za kike na korodani za kiume).

Kufanyika kwa upasuaji huo ni moja ya mafanikio makubwa katika Sekta ya Afya Tanzania.
Akizungumza baada ya upasuaji kufanyika na kufanya vipimo vya sampuli zilizo tolewa katika upasuaji, Dr Hussen Msuma amesema kuwa ni kweli mgonjwa alifika hospitalini akiwa na muonekano wa jinsia ya kiume lakini ana maumbile ya ndani ya aina mbili yaani umbile la kike na la kiume, hivyo kupelekea upasuaji huu.

“Upasuaji tumefanya kwa mgonjwa aliekuwa na uonekano wa nje wa jinsia ya kiume ila alikua na mifumo ya uzazi ya jinsia mbili ya kiume kwenye korodani ya kulia na ya kike kwenye korodani ya kushuto,”amesema.

Upasuaji huo umefaywa na jopo la madaktari kutoka hospitali hiyo, na limeongozwa na Daktari Bingwa wa upasuaji wa jumla na mfumo wa mkojo, Dk Hussein Msuma pamoja na wasaidizi wake, Dk Hamis Mbarouk, Curtius Mbalamula na Shani Maupa.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
MONEY
MONEY
1 month ago

KWELI WEWE JAMAA KWAKO HAKUNA BAG

TUNZA MAZINGIRA YAKUTUZE… UTAKACHOONDOA NDIO KAZI..

100% KIWEKWACHO HUMO HUTENGENEZWA NA WANAWAKE

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image004.jpg

Capture.JPG

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image004.jpg..

Capture.JPG
MONEY
MONEY
1 month ago

KWELI WEWE JAMAA KWAKO HAKUNA BAG

TUNZA MAZINGIRA YAKUTUZE… UTAKACHOONDOA NDIO KAZI..

100% KIWEKWACHO HUMO HUTENGENEZWA NA WANAWAKE…

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image004.jpg

Capture.JPG
MONEY
MONEY
1 month ago

KWELI WEWE JAMAA KWAKO HAKUNA BAG

TUNZA MAZINGIRA YAKUTUZE… UTAKACHOONDOA NDIO KAZI..

100% KIWEKWACHO HUMO HUTENGENEZWA NA WANAWAKE…

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image004.jpg

Capture.JPG
money
money
1 month ago

Kuwa mtanzania wa Kwanza kumiliki MAVAZI YA KUELEKEA SAYARI YA MWEZINI 2023 KWA GHARAMA YA SHILINGI 1 TU YA KITANZANIA – KUNA BARAFU SANA

Capture.JPG
Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x