Mwigulu: Sina biashara hata ya Bajaji

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, amesema hamiliki mabasi ya abiria, wala hana biashara hata ya Bajaji.

Ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma, wakati akizungumza na wanahabari na kutoa ufafanuzi kuhusiana na masuala ya tozo mbalimbali nchini.

Amesema ameshangazwa na taarifa kuwa ameagiza mabasi ya abiria 60, akisisitiza kuwa hana kampuni ya biashara hata ya Bajaji.

Habari Zifananazo

Back to top button