Mzamiru, Saido, Mayele wachomoza Tuzo za TFF

BODI ya Ligi (TPLB) imetoa orodha ya wachezaji watano wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa msimu wa 2022/2023 ambao umebakisha mechi mbili  kumalizika.

Tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu wanaowania ni Mzamiru Yassin, Fiston Mayele,   Bruno Gomes, Djigui Diarra, Saido Ntibazonkiza.

Kipa bora wanaowania Aishi Manula, Djigui Diarra, Benedict Haule.

Kwa upande wa beki bora wa mwaka kuna Dickson Job, Henock Inonga, Bakari Mwamnyeto, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein.

Kiungo bora wanaowania ni Bruno Gomes, Mzamiru Yassin, Stephane Aziz Ki, Clatous Chama , Saido Ntibazonkiza.

Kocha bora wa mwaka wanaowania Nasreddine Nabi, Hans Pluijm, Roberto Oliveira.

Angalia wachezaji wengine wanaowania tuzo mbalimbali hapa >>>>>PRESS NOMINEES TUZO

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button