Mzee wa Mjegeje afariki dunia

MSANII wa vichekesho Umar Issa maarufu kwa jina la ‘Mzee wa Mjegeje’ amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa anapatiwa matibabu.

Meneja wa msanii huyo anayejulikana kwa jina la Jimmy, amethibitisha taarifa hizo za kifo cha msanii wake.

 

Habari Zifananazo

Back to top button