ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Masreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya FAR Rabat ya Morocco.
Yaliyopita yamepita, na nimependezeshwa na changamoto mpya, yapo mengi ya kufanya kuwathibitishia watu tofauti, naangalia mbele kuanza rasmi kazi.
” amesema Nabi.
Imeelezwa Nabi ameamua kwenda na benchi lake la ufundi.