Nandy aomba msaada utapeli kwa kutumia jina lake

Msanii wa Bongo fleva Faustina Mfinanga, ‘Nandy’ amemlilia Waziri wa Teknolojia Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye kumsaidia watu wasiojulikana wanatapeli watu kupitia jina lake.

Nandy amesema “Mhe Nape Nnauye naomba nisaidie baba niwe mfano kwa watu wanaotumia jina langu kutapeli watu nipo tayari kutoa ushirikiano asilimia 100” ameandika

“Poleni kwa wote mliopata shida ya kutapeliwa najua mtatafuta lakini mnapaswa kuuliza Mara mbili tatu kujiakikishia kama natoa ajira siwezi toa ajira nikakulipisha na pesa, matapeli siku yao yaja poleni sana.”ameandika Nandy

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button