Nandy: Lolote namshirikisha Bilnass

MWIMBAJI wa Bongo Fleva nchini, Faustina Mfinanga, ‘Nandy’ amesema kwa sasa lolote analofanya lazima amshirikishe mumewe kwanza.

Nandy mumewangu anajuwa kila kitu kunihusu ratiba za nyumbani na muziki.

“Siwezi kufanya kitu chochote kwa sasa hadi atakapo ridhia mume wangu ndio jambo litafanyika hasipokubali hakuna kitakachofanyika.” amesema Nandy.

Advertisement