Napoli yatua kwa Enrique

KUFUATIA taarifa ya Luciano Spalletti kuondoka Napoli, timu hiyo imeanza mazungumzo na kocha wa zamani wa Barcelona, Luis Enrique kuchukua nafasi hiyo.

Taarifa ya mwandishi wa habari wa michezo, Fabrizio Romano imeeleza kuwa majadiliano ya Napoli na Enrique yanaendelea.

Msimu unakaribia kuisha na timu hiyo tayari imetwaa ubingwa wa Serie A hata hivyo imeripotiwa baadhi ya klabu zinahitaji saini ya Enrique.

Romano amesema kuwa kuondoka kwa Spalletti klabuni hapo kunatoa nafasi kwa baadhi ya klabu kubwa Ulaya kuhitaji huduma yake

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button