NBAA yatoa elimu changamoto hati chafu

DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imetoa elimu ya kitaalamu kuhusu changamoto ya hati chafu zinazojitokeza kwenye baadhi ya Halmashauri na Taasisi mbalimbali nchini, ambapo imeeleza kuwa chanzo chake si wahasibu pekee kama ambavyo jamii imezoea kudhani. Akizungumza kuhusu suala hilo, Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti, Viwango na … Continue reading NBAA yatoa elimu changamoto hati chafu