Ndalichako aunguruma Geneva

WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amehutubia Baraza la kazi Duniani Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) Jijini Geneva nchini Uswisi.

Ndalichako ameelezea juhudi mbali mbali zilizofikiwa na nchi yakiwemo sheria za kazi, ajira na jinsi.

Advertisement

Aidha katika hotuba yake Prof. Ndalichako amesema kuwa Tanzania inafuata  mikataba ya kimataifa kuhusu masuala ya kazi, ajira, hifadhi ya jamii na ushirikishwaji wa sauti za makundi mbali mbali kutoka kwa waajiri na wafanyakazi.

 

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *