Ndoye aongeza miaka miwili Azam

AZAM FC inaendelea kusuka kikosi chao ambapo raundi hii imemuongezea mkabata wa miaka miwili beki Malickou Ndoye.

Klabu hiyo imetoa taarifa hiyo kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.

“Malickou Ndoye ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu yetu hadi mwaka 2025. Ndoye, ambaye ameungana na kocha wake wa zamani, Youssou_Dabo.”imeeleza taarifa hiyo.

 

Habari Zifananazo

Back to top button